Vipele vya aleji

Vipele vya aleji

Wasiliana nasi na Mawakala pia Mnakaribishwa. Inarudisha Ngozi yako ya asili kwa kutengeneza mpya, Pia ina nguvu ya kipekee ya kuondoa ngozi ilioharibika hasa kwa Watu walioungua na Vipodozi vikali,Huondoa Makunyanzi na Mistari Usoni kwa "kutight" ngozi,Inaharufu nzuri ya kuvutia yaani Coco Inafanya ngozi kuwa laini na nyororo na kuwa na Muonekano Nzuri.

Kwa Dar es Salaam zinapatikana :- 1. Tissue Oil, The best one for Pregnant Women. It prevents and solve Strechmarks. Tissue Oil, ni nzuri sana kwa Wanawake wajawazito, inawakinga na kuondoa Michirizi. Inafanya ngozi kuwa laini na nyororo na kuwa na Muonekano Mzuri. Kwa Dar es Salaam zinapatikan:- 1. Mawakala Pia Mnakaribishwa. Inarudisha Ngozi yako ya asili kwa kutengeneza upya, Pia ina nguvu ya kipekee ya kuondoa ngozi ilioharibika hasa kwa Watu walioungua na Vipodozi vikali,Huondoa Makunyanzi na Mistari Usoni kwa "kutight" ngozi,Inaharufu nzuri ya kuvutia yaani Cocoa Jump to.

Sections of this page. Accessibility help. Email or phone Password Forgotten account? Log In. Forgotten account? Not Now. Visitor Posts. Shamim Anuar. Rebeka Cengula. Mikoani tunatuma. Dove Business Services Ltd. Send Message. Coming Soon!

Dove Business Services Ltd updated their cover photo. Zinapatikana:- 1.Sumu ni kitu chochote kile ambacho katika mwili huhatarisha utendaji kazi wa mifumo au viungo vya mwili na huweza kupelekea kifo.

Kwa kutegemeana na namna ambavyo sumu huuathiri mwili, tunapata makundi mawili ya sumu; Kundi la kwanza ni aina za sumu ambazo husababisha madhara yasiyorekebishika au tuite ulemavu wa maisha Irreversible effectsna kundi la pili ni aina za sumu zinazosababisha madhara yanayoweza kurekebishika Reversible effects. Miongoni mwa madhara yasiyorekebishika yanayoweza kusababishwa na kundi la kwanza la sumu ni pamoja na, makovu katika ngozi, upofu, matatizo ya akili, matatizo ya damu, kulemaa au kupooza viungo na kuwa kiziwi.

Kundi la pili la sumu husababisha madhara yanayoweza kurekebishika au kutatulika baada ya muda fulani, mfano uvimbe, kuwasha kwa ngozi, ngozi kuwa kavu sana, kutokwa na majibu pamoja na sehemu za mwili kubadilika rangi. Mpenzi msomaji, kuna vyanzo viwili vya sumu mwilini; chanzo cha kwanza ni kupitia vitu ambavyo vipo nje ya mwili, binadamu huvitumia na matokeo yake humuathiri.

Vitu hivi MTU huvitumia pengine kwa kujua au kutokujua kuwa kwake ni sumu, mfano matumizi ya kemikali aina ya zebaki mercury katika shughuli za migodini, uangalifu au umakini mkubwa wahitajika pindi utumiapo kemikali hii kwani huweza kukupa madhara katika mapafu na moyo. Sumu nyingine hujitokeza kwa kukosa au kutozingatia maelekezo tunayopewa juu ya utumiaji salama Wa Dawa za kutibu magonjwa, mtu anazidisha dozi, au ni mama mjamzito lakini anatumia Dawa ambayo siyo salama kwa kiumbe kilichopo tumboni, matokeo yake ni kuhatarisha maisha ya mjamzito, mtoto tumboni au kuja kujifungua mtoto mwenye ulemavu usio rekebishika.

Chanzo cha pili cha sumu ni miili yetu wenyewe, ni katika hali ya kawaida mwili unazalisha sumu mbalimbali kupitia mifumo yake ya Kazi, mfano katika uvunjwaji na usambazaji Wa chakula mwilini, mifumo ya hewa, utengenezaji wa damu, katika Kazi zote hizi na nyingine ambazo mwili hufanya, kuna baadhi ya sumu huzalishwa pamoja na kemikali free radicals nyingi ambazo hazitakiwi ziendelee kukaa mwilini, kwani huathiri utendaji Kazi wa kawaida wa mwili.

Uondoaji wa sumu mwilini hutegemeana na aina ya sumu yenyewe. Njia ya kwanza ni matumizi ya Dawa za kuivunja nguvu ile sumu husika ambapo kitaalamu hujulikana kwa jina la antidote, hapa ni baada ya uchunguzi kufanyika na kugundua aina ya sumu iliyokuathiri na kisha utapewa dawa kulingana na majibu ya uchunguzi wa kitaalamu. Njia ya pili inayoweza kutusaidia kuondoa sumu na hasa zile zinazozalishwa mwilini ni matumizi ya vyakula bora, hivi ni vyakula ambavyo kwa asili yake huwa na virutubisho ambavyo huvunja vunja na kuondoa sumu mwilini, vyakula hivi kitaalamu huwa na vitu vinavyoitwa antioxidants, ambavyo huulinda mwili dhidi ya kemikali hatarishi zinazozalishwa mwilini.

Vitamini hizi hupatikana katika mboga za majani na matunda, mfano mchicha, spinachi, karoti, matembele, machungwa, nanasi, maembe, machenza pamoja na mafuta ya mimea mfano alizeti. Ili miili yetu iweze kufanya kazi vizuri na tuendelee kuwa na afya njema, inabidi tuepukane na sumu hizi, pale inapo tulazimu zitumike mfano zebaki, migodinibasi tuzidishe umakini katika kujilinda afya zetu, na pia tubadilishe aina ya maisha au ulaji wa vyakula, matunda na mboga za majani ni walinzi wakubwa sana wa afya zetu.

VIPELE VINAVYOTOKEA BAADA YA KUNYOA SEHEMU ZA SIRI NA JINSI YA KUZUIA

Chanzo: Tanzlife Company Limited. Swali langu,je kwa mtumiaji aliyeacha matumizi ya vilevi hivyo,hizo sumu atazitoa kwa dawa gani? Pole sana. Ili kuondoa sumu mwilini,unatakiwa kuachana na uvutaji wa sigara,Badala yake kula karanga. Hii itakufanya upunguze kemikari kwenye mwili wako. Mm nna tatizo la mafua makali sn nadhani ni allerge na nimekuwa nalo kwa muda mrefu sn, nawashwa koo na pua alafu napiga chafya sn bda ya hapo ni mafua makali snaa, nikimeza allerid na predinisolone bac mafua yanaisha, naweza kupumzika hta cku 4 au 5 au hta wki alafu yanarudi tena, nikimeza hzo dawa yanaisha kwa hyo nimetumia hzo kwa muda mrefu ana nahic zimeanza kuniletea madhara nifanye Nn?

Pole sana kwa hali hiyo. Siku zote katika kutatua tatizo la aleji, kitu cha kwanza ni MTU afahamu kuwa ni vitu gani vina msababishia aleji, hii itamsaidia yeye kuviepuka. Njia ya kuvifahamu mbali na vipimo vya hospitali pia inawezekana wewe mwenyewe ukawa unafahamu kabisa kuwa ukitumia kitu fulani au chakula fulani basi tatizo hukutokea.

Kwa kufanya hivyo itasaidia wewe kujilinda na usipate aleji tena.About Contact. Aleji au mzio unaosababishwa na dawa. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya yako. Wiki iliyopita tulianza kuzungumzia tatizo la aleji au mzio, mada ambayo leo pia tutaendelea kuijadili. Pia tutazungumzia aleji inayosababishwa na dawa na namna ya kujikinga nayo.

Tafadhalini jiungeni nami hadi mwisho wa kipindi. Kama tulivyosema wapenzi wasikilizaji mzio au aleji ni matokeo ya mpambano uliopitiliza kati ya kinga ya mwili na kitu chochote ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili, inapotokea kimeingia ndani ya mwili au kimegusa sehemu fulani ya mwili. Unachopaswa kukijua kuhusu mzio ni hali inayotokea wakati seli za mwili wako zinapokataa kitu ambacho kwa mtu wa kawaida hakina madhara.

Mzio hujitokeza kwa alama au dalili mbalimbali na huleta matokeo yenye ishara nyingi mwilini. Kuna aina mbili kuu za mizio, zile zinazosababishwa na kitu ambacho kiko nje ya mwili na husababishwa na mazingira ya nje ya mwili wako. Aina nyingine kuu ya mzio ni ile ambayo iko ndani ya mwili wako ambayo inaweza kuletwa na kinasaba cha kurithi au na kitu kilichoko ndani ya mwili wako. Mzio wa ngozi au aleji inayojitokeza kwenye ngozi ni tatizo linaloweza kukupata kutokana na mwili wako kukataa kitu fulani, hutokana na sababu kadhaa ikiwemo hewa na hata chakula tunachokula.

Kuna vitu ambavyo huibua mzio kama vumbi katika nyumba, mavi ya panya, manyoya ya wanyama na hewa yenye aina ya spiriti. Mzio unaweza kukufanya uwe na ukurutu, mafua, pumu na hata kuvimba kwa mwili. Wapo watu ambao hupata tatizo la ngozi, kuwashwa na hata kuvimba.

Katika dunia ambayo inatamba sana na teknolojia, tatizo la mzio ni kubwa na hasa kutokana na kemikali zinazotumika katika vyakula na hata urembo vinapotibua kemikali zinazotengeneza aleji katika mwili. Wakati kitu chochote kinaweza kuwa alejeni lakini kuna vitu vingine ambavyo husababisha mzio zaidi kupita kiwango cha kawaida.

Alejeni zinaweza kuwa vumbi na mazingira yaliyochafuliwa kwa poleni unga wa mimea na mauavipodozi na marashi ya kujipaka au ya kupuliza, vyakula mbalimbali kama mayai, karanga, kemikali zinazotumika kuhifadhia vyakula na vinywaji ambazo mtu huzila kwenye chakula au kuzinywa kwenye vinywaji hivyo.

Mwongozo wa Elimination diet

Mzio unaweza kusababishwa na mabaki au uchafu wa kemikali kutoka viwandani, moshi wa magari machakavu na makukuu utokao kwenye ekzosi, mwanga wa jua, nyuzi za nguo zinazotengenezwa viwandani, baadhi ya dawa kama penicillin na kadhalika, manyoya, sufi ya ngozi za wanyama, wadudu mbalimbali kama mchwa na mende, manyoya ya paka na mbwa na hata harufu inayotokana na rangi mbalimbali.

Wasikilizaji wapenzi mzio unaosababishwa na dawa au drug allergy ni hali isiyo ya kawaida inayooneshwa na mfumo wa kulinda mwili kutokana na dawa.

Dawa za aina yeyote zinaweza kuleta aleji kuanzia zinazoruhusiwa kununuliwa kwenye duka la dawa bila cheti yaani over-the-counter drugs, zilizoandikwa na daktari au hata dawa za mitishamba.

Hata hivyo mzio husababishwa zaidi na dawa za hospitalini. Aleji inayosababishwa na dawa huweza kuleta madhara makubwa kwa mtu, na kuonesha dalili jumla mara moja, hali inayojulikana kama Anaphylaxis ambayo hutishia maisha kwa kuathiri viungo kadhaa vya mwili.

Mwili unaweza kuonesha aleji za dawa za aina mbalimbali, kuanzia muwasho kidogo kwenye ngozi hadi athari zinazoweza kusababisha madhara makubwa mwilini. Lakini mara nyingi dalili za mzio uliosababishwa na dawa huonekana kwenye ngozi. Kwa kawaida aleji inayosababishwa na dawa huwa haijitokezi mara ya kwanza dawa inapotumiwa, bali pale dawa inapotumiwa tena. Kama mzio utajitokeza mara ya kwanza mtu anapotumia dawa fulani, kwa kawaida huwa amewahi kutumia dawa hiyo lakini bila kujua.

Hii ni kwa sababu mzio hautokei mara ya kwanza dawa inapoingia mwilini bali mara hiyo mwili hutengeneza kingamwili au zindiko na seli za kumbukumbu za lymphocyte kwa ajili ya dawa hiyo ambayo huchukuliwa kama kitu kisichotakiwa na mwili au antijeni. Wakati dawa hiyo inapotumiwa tena na kuingia mwilini seli za kingamwili huzalisha kemikali zinazoitwa 'mediator'. Mfano wa seli hizo ni Histamine ambazo athari yake kwa viungo ni dalili ambazo hudhihirika kama aleji. Aleji ya dawa si sawa na athari ya dawa, inayoweza kujitokeza baada ya kula dawa ya aina fulani, ambayo kwa kawaida huambatanishwa na maelezo ya dawa.

Mzio unaosababishwa na dawa pia ni tofauti na sumu ya dawa ambayo hutokea pale dawa inapotumiwa kwa kiasi kikubwa. Kuna baadhi ya dawa ambazo husababisha sana mzio kuliko nyinginezo. Dawa hizo kwanza kabisa ni antiobiotics kama vile penicillin, tetracycline na dawa zenye sulfa ambazo hutumika kutibu ugonjwa wa malaria.Post a Comment.

Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano. Hata hivyo ni wazi kwamba Madktari wengi wa watoto huwa na mitizamo inayopingana juu ya jambo hili. Ukweli nikwamba tafiti za hivi karibuni zaonyesha kua hakuna ushahidi uliothibitika kisayansi kua Vyakula hivi havifai kwa mtoto mchabga adi afikishe umri fulani.

Tafiti hii ilionyesha hakuna sababu yoyote ya kuchelewa kumpa mtoto chakula cha aina yoyote pale unapomuanzishia chakula kwani vyakula vyote ni salama na hakuna ushahidi wowote wa kisayansi unaoonyesha kwamba kuchelewa kumpa mtoto vyakula hivi humlinda na kumuepusha na uwezekano wa kupata magonjwa yenye uhusiano au asili ya aleji yaani Atopic Deseases. Hapana,si salama. Kumbuka unaweza muanzishia mtoto chakula kati ya miezi na si chini ya hapo.

Nimeandika makala hii kwa kutafsiri makala iliyoandikwa katika jarida la Umoja wa madaktari wa watoto wa Marekani. Wamethibitisha kua makala hiyo imeandikwa na wataalam wa afya kwa kuzingatia tafiti za shirika la afya duniani. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Mada Maarufu. Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali d Tatizo la uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi.

Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na Kwa wale ambao tuna nywele asilia a. Kwa wale mnaofikiria kuanza Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengene Kuhusu Mzizi Mkavu Blog yenye kukupa ushauri wa matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa kutumia dawa za kisunna kwa uwezo wa Mungu.

Mzizimkavu Blog managed by Fadhili Ngalawa.Mzio au aleji allergy ni matokeo ya mpambano uliopitiliza kati ya kinga ya mwili na kitu chochote ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili inapotokea kimeingia ndani ya mwili au kimegusa sehemu fulani ya mwili. Kuwa na mzio ni jambo la kawaida. Haishangazi basi kuona kuna baadhi ya watu wanakuwa na mafua karibu kila siku au wengine wanashindwa kuvaa baadhi ya vitu kama saa au cheni za dhahabu kwa vile tu huvimba mwili au kuwashwa pindi wanapofanya hivyo.

Kwa kawaida kinga ya mwili huulinda mwili dhidi ya vitu mbalimbali hatari kwa afya kama vile vimelea vya bakteria na virusi, lakini wakati mwingine inaweza kupambana pia na vitu ambavyo havina madhara yeyote kwa mwili ambavyo huitwa allergens.

Mwili unapokumbana na vitu vinavyosababishia aleji yaani allergensmfumo wa kinga ya mwili huzalisha kemikali mbalimbali ikiwemo histamine ambayo hupambana na allergens hizo.

Matatizo ya kinasaba pamoja na hali tofauti tofauti za kimazingira zote zinahusika sana katika kusababisha mtu kuwa na mzio. Wapo baadhi ya watu ambao hukumbana na mzio pindi wanapokuwa katika mazingira ya joto au baridi wakati wengine hupatwa na mzio pindi wanapopigwa na jua kali. Wakati mwingine, hata msuguano kidogo tu wa ngozi unaweza kuwasababishia baadhi ya watu dalili fulani fulani za mzio. Kwa kawaida, mzio wa aina fulani huwa haurithishwi miongoni mwa wanafamilia.

Kwa mfano kama mzazi ana aleji na baridi si lazima watoto wake pia wawe na aleji hiyo hiyo ya baridi ingawa wanaweza kuwa na aina nyingine ya aleji. Uwezekano wa mtoto kupata aleji huongezeka zaidi iwapo wazazi wote wawili wana aleji na vitu fulani fulani na huwa mkubwa zaidi iwapo mama ndiye mwenye aleji.

Wakati mwingine aleji inaweza kuzorotesha hali ya baadhi ya watu wenye magonjwa kama ugonjwa wa ngozi wa eczema au pumu kufanya iwe mbaya zaidi. Mgonjwa ataulizwa kuhusu historia ya tatizo lake, ni lini lilianza na vitu gani humfanya awe hivyo. Aidha tabibu pia atapenda kufahamu kuhusu dalili nyingine zinazoambatana na tatizo linamlomkabili mgonjwa.

Baadaye vipimo vya aleji vinaweza kufanyika ili kufahamu hasa ni kitu gani mgonjwa ana aleji nacho na kama kweli dalili alizo nazo mgonjwa ni kweli zinatokana na aleji au zinatokana na sababu nyingine.

Hii ni kwa sababu kuna baadhi ya mambo yanaweza kumsababishia mtu kupatwa na dalili zinazofanana kabisa na mtu aliye na aleji ya kitu fulani.

Kwa mfano matumizi ya aina fulani ya dawa zinaweza kumsababishia mtu kupata mikwaruzo au michubuko katika ngozi inayofanana na aleji nyingine, au mtu anaweza kuwa na mafua au kikohozi kwa sababu ya maambukizi ya bakteria au virusi na si kwa vile inatokana na aleji.

Kipimo maarufu kabisa cha kutambua aleji kwa mtu ni kipimo cha ngozi skin testing ambapo mgonjwa huwekewa baadhi ya vitu vinavyohisiwa kumletea aleji juu ya ngozi yake na kisha ngozi huchomwa kidogo kwa sindano ili hivyo vitu viweze kuingia ndani ya ngozi wakati huo daktari akichunguza kama kuna mabadiliko yeyote kama vile uvimbe au ngozi kuwa nyekundu katika eneo lilichomwa.

Kipimo cha namna hii hufaa zaidi kwa watoto wadogo kwa vile ni rahisi kufanyika kwao bila usumbufu mkubwa sana. Aina nyingine yay kipimo cha aleji cha ngozi hufanyika kwa kubandika vitu vinavyohisiwa kuleta aleji kwenye ngozi patch testing au kuchoma sindano zenye allergens sehemu ya juu ya ngozi intradermal injection na kuchunguza uwepo wa mabadiliko yeyote katika ngozi.

Vipimo vingine ni pamoja na vipimo vya damu huonesha ongezeko la immunoglobulin E ambayo huashiria uwepo wa vitu vinavyosababisha aleji, na kipimo cha Full Blood Picture chenye kuonesha ongezeko la eosinophil ambayo ni sehemu mojawapo ya chembe nyeupe za damu iwapo kuna aleji. Lakini pia daktari anaweza kukushauri kuepuka baadhi ya vitu hasa dawa au aina fulani za vyakula ili kuona kama utapata nafuu yeyote au kukushauri kutumia baadhi ya vitu anavyohisi vinakuletea matatizo ili kuona kama utapata dalili zozote zile.

Njia bora kabisa ya kutibu na kupunguza uwezekano wa kupata aleji ni kutambua kitu au vitu vinavyokusababishia hali hiyo na kuviepuka.

Kama ni chakula au dawa au kemikali, epuka kabisa matumizi yake, na kama ni vumbi jitahidi kukaa nalo mbali. Kadhalika shambuli kali la aleji laweza kusababisha muhusika kulazwa hospitali kwa vile lisipothibitiwa kifo kinaweza kutokea.

Zipo aina mbalimbali za dawa zitumikazo kutibu na kuzuia aleji, kulingana na jinsi daktari wako atakavyoona inafaa kutegemeana na ukali wa tatizo, dalili zake, umri wako pamoja na hali yako ya afya kwa ujumla. Dawa hizi ni pamoja na za jamii ya antihistamines, za jamii ya corticosteroids ambazo ni maalum kwa kutuliza mcharuko mwili ambazo huwa katika muundo mbalimbali kama vile cream, matone ya kuweka machoni au masikioni, za kuvuta au kupulizia, sindano au vidonge.

Kwa wale wenye mafua na kuziba kwa pua, hushauriwa kutumia dawa zinazosaidia kuzibua pua, hata hivyo dawa hizi hazina budi kutumiwa kwa uangalifu hasa kwa watu wenye magonjwa ya shinikizo la damu au moyo.

Dawa nyingine ni zile zinazosaidia kuzuia vitu vinavyosababisha aleji.Mzio hujitokeza kwa alama au dalili mbalimbali na huleta matokeo yenye ishara nyingi mwilini. Kuna aina mbili kuu za mizio, zile zinazosababishwa na kitu ambacho kiko nje ya mwili na husababishwa na mazingira ya nje ya mwili wako.

TATIZO LA MZIO ( ALLERGY)

Aina nyingine kuu ya mzio ni ile ambayo iko ndani ya mwili wako ambayo inaweza kuletwa na kinasaba cha kurithi au na kitu kilichoko ndani ya mwili wako. Mzio wa ngozi au aleji inayojitokeza kwenye ngozi ni tatizo linaloweza kukupata kutokana na mwili wako kukataa kitu fulani, hutokana na sababu kadhaa ikiwemo hewa na hata chakula tunachokula.

Kuna vitu ambavyo huibua mzio kama vumbi katika nyumba, mavi ya panya, manyoya ya wanyama na hewa yenye aina ya spiriti. Mzio unaweza kukufanya uwe na ukurutu, mafua, pumu na hata kuvimba kwa mwili.

Wapo watu ambao hupata tatizo la ngozi, kuwashwa na hata kuvimba. Katika dunia ambayo inatamba sana na teknolojia, tatizo la mzio ni kubwa na hasa kutokana na kemikali zinazotumika katika vyakula na hata urembo vinapotibua kemikali zinazotengeneza aleji katika mwili.

Wakati kitu chochote kinaweza kuwa alejeni lakini kuna vitu vingine ambavyo husababisha mzio zaidi kupita kiwango cha kawaida.

Alejeni zinaweza kuwa vumbi na mazingira yaliyochafuliwa kwa poleni unga wa mimea na mauavipodozi na marashi ya kujipaka au ya kupuliza, vyakula mbalimbali kama mayai, karanga, kemikali zinazotumika kuhifadhia vyakula na vinywaji ambazo mtu huzila kwenye chakula au kuzinywa kwenye vinywaji hivyo.

Mzio unaweza kusababishwa na mabaki au uchafu wa kemikali kutoka viwandani, moshi wa magari machakavu na makukuu utokao kwenye ekzosi, mwanga wa jua, nyuzi za nguo zinazotengenezwa viwandani, baadhi ya dawa kama penicillin na kadhalika, manyoya, sufi ya ngozi za wanyama, wadudu mbalimbali kama mchwa na mende, manyoya ya paka na mbwa na hata harufu inayotokana na rangi mbalimbali. Dawa za aina yeyote zinaweza kuleta aleji kuanzia zinazoruhusiwa kununuliwa kwenye duka la dawa bila cheti yaani over-the-counter drugs, zilizoandikwa na daktari au hata dawa za mitishamba.

Hata hivyo mzio husababishwa zaidi na dawa za hospitalini. Aleji inayosababishwa na dawa huweza kuleta madhara makubwa kwa mtu, na kuonesha dalili jumla mara moja, hali inayojulikana kama Anaphylaxis ambayo hutishia maisha kwa kuathiri viungo kadhaa vya mwili. Mwili unaweza kuonesha aleji za dawa za aina mbalimbali, kuanzia muwasho kidogo kwenye ngozi hadi athari zinazoweza kusababisha madhara makubwa mwilini.

Lakini mara nyingi dalili za mzio uliosababishwa na dawa huonekana kwenye ngozi. Kwa kawaida aleji inayosababishwa na dawa huwa haijitokezi mara ya kwanza dawa inapotumiwa, bali pale dawa inapotumiwa tena.

Kama mzio utajitokeza mara ya kwanza mtu anapotumia dawa fulani, kwa kawaida huwa amewahi kutumia dawa hiyo lakini bila kujua.

Hii ni kwa sababu mzio hautokei mara ya kwanza dawa inapoingia mwilini bali mara hiyo mwili hutengeneza kingamwili au zindiko na seli za kumbukumbu za lymphocyte kwa ajili ya dawa hiyo ambayo huchukuliwa kama kitu kisichotakiwa na mwili au antijeni.

Wakati dawa hiyo inapotumiwa tena na kuingia mwilini seli za kingamwili huzalisha kemikali zinazoitwa 'mediator'. Mfano wa seli hizo ni Histamine ambazo athari yake kwa viungo ni dalili ambazo hudhihirika kama aleji.

Aleji ya dawa si sawa na athari ya dawa, inayoweza kujitokeza baada ya kula dawa ya aina fulani, ambayo kwa kawaida huambatanishwa na maelezo ya dawa. Mzio unaosababishwa na dawa pia ni tofauti na sumu ya dawa ambayo hutokea pale dawa inapotumiwa kwa kiasi kikubwa.

Kuna baadhi ya dawa ambazo husababisha sana mzio kuliko nyinginezo. Dawa hizo kwanza kabisa ni antiobiotics kama vile penicillin, tetracycline na dawa zenye sulfa ambazo hutumika kutibu ugonjwa wa malaria. Asprini na dawa nyinginezo za kutuliza maumivu na kupunguza uvimbe zinazojulikana kama NSAID kwa mfano ibuprofen na indometacine. Pia dawa za kutibu saratani, dawa za kupooza mfumo wa kulinda mwili au zinazotibu magonjwa yanayosababishwa na hali hiyo kama vile rheumatoid fever na arthritis na krimu au lotion aina ya corticosteroid.

Nyinginezo ni dawa zinazotumiwa na watu wenye Ukimwi na pia dawa za kutibu kifafa kama vile phenytoin au carbamezapine.EDI ni aina ya lishe ambayo inakutaka kuondoa baadhi ya vyakula ulivyozoea kula katika mlo wako ambayo ndio chanzo cha aleji na matatizo mengine ya tumbo kisha kufidia aina ingine ya vyakula taratibu taratibu wakati huo unafatilia mwili unapokeaje aina hiyo ya chakula.

Lengo la aina hii ya lishe ni kugundua hasa ni aina ipi ya vyakula ndo chanzo cha matatizo yako kwenye mfumo wa chakula na matatizo mengine ya kiafya, pale inapofikia unaumwa na ukienda hospitali unaambiwa hakuna tatizo, wakati tayari unapata dalili mbaya. Lishe hii huchukua kuanzia week 3 mpaka week sita. Mpaka kufikia muda huu mwili utakuwa umepona na hautatutumka ama kukataa tena chakula.

Aleji ya chakula ni matokeo ya kinga ya mwili kukataa aina fulani ya protini iliyopo kwenye chakula, pale unapokula aina husika ya protini mwili huitikia kwa kupambana na chaula husika kwa kutoa dalili kama kuvimba, kutokwa vipele, kuhema kwa shida na maumivu kwenye mfumo wa chakula hasa tumbo. Kwahivo utakubaliana nami kwamba kujua na kuondoa vileta aleji allergies ni muhimu kwa afya yako.

Mwili unapokataa chakula unafanya kinga ya mwili kupambana na aina husika ya chakula na hivo kupelekea mpaka tishu za karibu kuathirika. Athari za kwenye tishu zinaweza kuletekeza dalili kama.

Hatua ya kwanza: Acha kula vyakula ambavyo vinasababisha aleji tazama list pale juu. Vyakula hivi usitumie kwa muda wa week 3 mfululizo. Kuondoa vyakula hivi kwenye mlo wako inakusaidia kugundua kinachokutesa hasa ni kipi. Hatua ya pili: Wakati unaepuka vyakula hivi hakikisha unakuwa makini kwa kusoma lebel inayowekwa kwenye vyakula. Soma kuhusu viambata ingradients za vyakula husika kucheki kama vimeongezewa vileta aleji. Hatua ya tatu: Baada ya ya week 3, tutaita kipindi hiki reintroduction phase anza kula na moja ya chakula kati ya vile usivyotakiwa kutumia pale juu, kula kila siku ikiwezekana kisha angalia na dalili unazopata.

Orodhesha dalili za tofauti ulizoziona kati ya kipindi cha elimintion phase na reintroduction phase. Hatua ya nne: Kama utaona dalili mbaya zimejirudia haraka pale tu ulipurudia kutumia chakula husika basi tayari utakuwa umempata mbaya wako. Unaweza kuhakiki kuwa chakula hiki siyo salam kwako kwa kukiacha kukitumia tena na kucheki mabadiliko ya mwili. Utaona hili zoezi ni la kujaribu jaribu, lakini haitakiwi kuchukua zaidi ya week 4 maka 6 kugundua aina ya chakula kibaya na kuamua kukiondoa kabisa kwenye mlo wako.

Dawa ya upele sugu

Kwenye lishe yako ya Elimination Diet jitahidi walau asilimia 40 ya sahani yako iwe ni mboga za majani pika kidogo sanaasilima 30 iwe ni protiniasilimia 20 iwe ni vyakula vyenye mafuta mazuri na 30 iwe ni matunda na wanga. Vyakula vingine vya kuongeza kwenye lishe yako ni pamoja na. Muhimu: Asilimia kubwa ya sahani yako iwe ni mboga za majani na kiwango kidogo cha matunda. Mboga nzuri za majani pendelea zaidi zile za kijani kilichokolea, kabeji, cauliflower, broccoli,celery, uyoga na matango.

Asilimia 70 ya kinga ya mwili ipo kwenye mfumo wa chakula, hili ni muhimu kulifahamu na hasa kuanzia mdomoni mpaka kwenye haja kubwa Gut. Kila muda tunapoweka kitu flani mdomoni taarifa husafiri mpaka kwenye ubongo na kisha kutafsiriwa juu ya chakula husika. Kwahivo mawasiliano haya haya yanayofanikisha kujua muda gani una njaa na muda gani umeshiba ndio yanatumika kutoa viashiria juu ya aleji, na madhara ya chakula kilichoingia mwilini.

Endapo mwili utagundua chakula ulichokula kina shida basi utaitikia kwa kinga ya mwili kuanza kuapambana na kile chakula na hivyo kupelekea tishu za karibu kuathirika na kuvimba inflammation. Kumbuka kwamba wakati unaendelea na Elimination Diet utaacha kula baadhi ya vyakula kwa amuda wa mwezi mmoja, kisha utarudisha tena kile chakula kwenye mlo wako kukijaribisha, kama mwili utakikataa basi itakulazima kuacha kabisa kutumia chakula husika.

Lengo ni kuhakisha mwili haupati shida tena. Skip to content Elimination die EDI kama unapata aleji mara kwa mara unapokula vyakula, ama unahisi ngozi kututumka na kuvimba, chakula hakisagwi vizuri tumboni, unapata choo kigumu ama kukosa choo kwa muda mrefu na hujui unafanyaje ili kuzifukuza dalili hizi, basi lishe hii ninayoiita EDI yani elimination diet itakufaa.

Dalili hizi zitatazokusukuma uanze kutumia lishe hii ya EDI ni kama tumbo kujaa gesi, Kuharisha mara kwa mara, Kukosa choo ama kupata choo kigumu, Aleji ya ngozi na chakula na Ngozi kuharibika.


thoughts on “Vipele vya aleji”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *